MPENZI

Mpenzi nakutamani, ijapo upo karibu
Nitazame wangu honey, hata bila ya sababu
Unipende kizamani, roho iipate tibu
Hutonichoka moyoni, katu sitakupa tabu
Siniwate matatani, yote ukayaharibu

  • FaFi

Leave a comment